mda wa kilimo ni sasa!
Hapa ndipo unapopata nyenzo muhimu kama mkulima na mfugaji ili kukuza ujuzi na ustadi wako katika sekta hii ya kilimo na ufugaji. Tembelea nyaraka zetu ili upate maarifa zaidi na uweze kujifunza kwa undani zaidi
NYARAKA TULIZO NAZO
KILIMO BORA CHA BIASHARA
Wewe kama Mkulima inakupasa kupata faida kutokana na Jasho lako na Mbinu mbali mbali unazozitumia katika kilimo, Hali ya Hewa ,zama na Nyakati zimebadilika – Hivyo inabidi kusoma na kutia juhudi ili uweze nufaika na Kilimo unachofanya. Kwa maelezo na kina tumeandika nyaraka hizi kuku saidia.
ufugaji wa kisasa
Uwanja wa Ufugaji ni Mkubwa na hakuna haujuaye yote, Pitia mara kwa mara vitabu na nyaraka zitakazowekwa ili uweze kuwa na elimu endelevu, katika sekta ya Ufugaji
MAGONJWA NA TIBA
Katika swala zima la ufugaji na Kilimo tumeona tujikite pia kweye magonjwa ambayo yanaweza athiri uzalishaji wetu katika kilimo au Ukuaji na ongezeko la Wanyama na Ndege tunaofuga. Yajua Magonjwa na Tiba hizo kupitia Eneo ili.
Wasomaji wetu wanasemaje
Uwepo wenu kna Eliu Yenu nimeipenda sana., Lazima nipige Pesa mwaka Huu kwenye Kilimo cha Karoti.
Bahati George
Nashukuru sana,Endeleeni kukaza Buti,Maana Elimu hii tunaipata hapa bure na imenisaidia sana
Alfred Malosha
pata nyaraka mpya hapa
Eneo maalumu utakosoma Nyaraka mpya kwa Uharaka ni Hapa ,Pitia hii
KUFUGA KUKU WA KIENYEJI KUNALIPA
KUFUGA KUKU WA KIENYEJI KUNALIPA KUFUGA KUKU WA KIENYEJI KUNALIPA : Kufuga kuku wa kienyeji ni jadi ya Watanzania waishio vijijini. Aghalabu katika kila kaya
MATUMIZI YA UHAKIKA YA DAWA ZA KUDHIBITI VIUMBE HAI TEGEMEZI WA MIFUGO
MATUMIZI YA UHAKIKA YA DAWA ZA KUDHIBITI VIUMBE HAI TEGEMEZI WA MIFUGO : Maendeleo ya Sayansi na teknolojia yamewezesha sekta za utengenezaji madawa (Phamaceutical Industries)
KILIMO BORA CHA VIAZI MVIRINGO
UTANGULIZI Viazi mviringo ni zao muhimu la chakula na biashara katika nchi nyingi zinazoendelea. viazi husitawi vizuri sehemu zenye miinuko kati ya mita
CORONA VIRUS EDUCATIONAL POST
Naomba twende polepole Vyanzo vya vifo duniani na idadi (WHO, 2019) Heart diseases – mil 9.43Stroke – mil 5.73COPD – mil 3.04Pumu – mil 2.96Alzheimer’s
UFUGAJI WA KISASA WA NG’OMBE
UTANGULIZI Ng’ombe wanafugwa kwa ajili ya nyama na maziwa lakini pia hutoa mazao mengine kama ngozi,mbolea na hutumika kama wangyama kazi. Zaidi ya asilimia95 ya ng,ombe
FAIDA ZA MBOLEA YA MBOJI
Matumizi ya mbolea ya mboji katika kilimo cha mazao yana faida zifuatazo; Utengenezaji wa mbolea ya mboji hauna gharama na ni rahisi hivyo wakulima wa ngazi
KILIMO BORA CHA PILIPILI MANGA
Utangulizi Jina la kitalaam ni Piper nigram na kwa kiingereza ni black pepper. Zao hili asili yake ni Mashariki ya Mbali, na linalimwa zaidi katika
FAHAMU NAMNA NZURI YA KUVUNA MAJI YA MVUA KWA AJILI YA KILIMO NA MIFUGO
Lakini kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi mvua iliyokuwa ikitegemewa sana na wakulima kama chanzo cha maji kwa mimea imekuwa
Kilimo Bora cha Mahindi: Jinsi ya Kukuza Mavuno ya Mahindi Yako
Mahindi ni mojawapo ya mazao ya nafaka muhimu sana ulimwenguni, hutoa chakula na chakula cha wanyama kwa binadamu na wanyama. Nchini Kenya, mahindi ni chakula
KANUNI ZA MSINGI ZA UFUGAJI BORA WA SUNGURA
Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au mbwa,
Kilimo bora cha Ndizi
Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa
JIFUNZE UFUGAJI MSETO WA SAMAKI KATI YA KAMBALE NA SATO
Polyculture ni uzalishaji wa samaki aina mbili au zaidi ndani ya mazingira ya maji. Kwa kawaida polyculture hutokea katika mabwawa. Samaki aina ya kambare na
Pakua: Kitabu cha Magonjwa Ya Kuku 🐔
Pata Nakala yako bure yatambue na uweze kupambana na Magonjwa Makuu ya Kuku,Tiba na Kinga.KIlicho andaliwa na wataalamu wa Kilimo na Ufugaji.