mda wa kilimo ni sasa!
Hapa ndipo unapopata nyenzo muhimu kama mkulima na mfugaji ili kukuza ujuzi na ustadi wako katika sekta hii ya kilimo na ufugaji. Tembelea nyaraka zetu ili upate maarifa zaidi na uweze kujifunza kwa undani zaidi
NYARAKA TULIZO NAZO
KILIMO BORA CHA BIASHARA
Wewe kama Mkulima inakupasa kupata faida kutokana na Jasho lako na Mbinu mbali mbali unazozitumia katika kilimo, Hali ya Hewa ,zama na Nyakati zimebadilika – Hivyo inabidi kusoma na kutia juhudi ili uweze nufaika na Kilimo unachofanya. Kwa maelezo na kina tumeandika nyaraka hizi kuku saidia.
ufugaji wa kisasa
Uwanja wa Ufugaji ni Mkubwa na hakuna haujuaye yote, Pitia mara kwa mara vitabu na nyaraka zitakazowekwa ili uweze kuwa na elimu endelevu, katika sekta ya Ufugaji
MAGONJWA NA TIBA
Katika swala zima la ufugaji na Kilimo tumeona tujikite pia kweye magonjwa ambayo yanaweza athiri uzalishaji wetu katika kilimo au Ukuaji na ongezeko la Wanyama na Ndege tunaofuga. Yajua Magonjwa na Tiba hizo kupitia Eneo ili.
Wasomaji wetu wanasemaje
Uwepo wenu kna Eliu Yenu nimeipenda sana., Lazima nipige Pesa mwaka Huu kwenye Kilimo cha Karoti.
Bahati George
Nashukuru sana,Endeleeni kukaza Buti,Maana Elimu hii tunaipata hapa bure na imenisaidia sana
Alfred Malosha
pata nyaraka mpya hapa
Eneo maalumu utakosoma Nyaraka mpya kwa Uharaka ni Hapa ,Pitia hii
FAIDA ZA UFUGAJI NYUKI
FAIDA ZA UFUGAJI NYUKI : Watu wengi duniani hudhania kwamba faida ya nyuki ni uzalishaji wa asali tu, na si vinginevyo. Lakini karne za hivi
DUME ZURI KWA UZALISHAJI WA NG’OMBE WA MAZIWA
Tunaangalia uchaguzi wa dume mzuri kwa uzalishaji wa ng’ombe wa maziwa, pamoja na aina ya malisho ambayo mfugaji anaweza kuyatumia kuweza kukabiliana na changamoto ya
Kilimo Cha Maharage Ya Njano.
Kilimo cha maharage ni rahisi na kinalipa sana kikifanyika kwa utaalamu. Gharama nafuu na ushindani wa soko sio mkubwa sana. Huhitaji kusafiri, kinachofanyika ni kuwaita
Kilimo bora cha Mtama
UTANGULIZI Mtama ni miongoni mwa mazao ya nafaka yanayolimwa kwa wingi nchini na duniani kote. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. Mtama
KANUNI ZA KUONGEZA FAIDA KATIKA UFUGAJI KUKU
Ufugaji kuku ni biashara kama biashara nyingine, kuna wafugaji wengi wanaingia gharama zisizo za lazima katika kufuga kuku hali ambayo inawapelekea kupunguza faida yao na
UFUGAJI WA BATA KAMA FURSA YA KIPATO
Bata ni ndege kama walivyo kuku,kanga na wengine. Bata ana urahisi mkubwa sana kumfuga kwakuwa hana complications katika matunzo yake mpaka kupata mazao yake. Inashauriwa
Kilimo cha Maharage
Donec odio. Quisque volutpat mattis eros. Nullam malesuada erat ut turpis. Suspendisse urna nibh, viverra non, semper suscipit, posuere a, pede.
Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji [JF]
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI. Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga
HIZI NDIZO MBINU ZA KUZUIA WADUDU, NDEGE NA WANYAMA WAHARIBIFU WA MAZAO
Wadudu Wadudu wanaoweza kushambulia mazao ni pamoja na katapila na jongoo .Katapila Hukata ncha ya mmea inayokua Kudhibiti Kagua shamba mara kwa mara ili kutambua
FAHAMU MAMBO MAWILI KABLA HUJAANZA KILIMO BIASHARA
Habari za leo ndugu msomaji wangu na pole kwa shughuri mbalimbali za ujenzi wa Taifa. Jumatatu iliyopita nilikuandikia nilikuandikia makala inayokufahamisha Kilimo bora cha zao
MIGOMBA – KANUNI ZA KILIMO BORA
MIGOMBA – KANUNI ZA KILIMO BORA Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi
NJIA SAHIHI ZA KUTUNZA MAYAI YA KUKU
Kwa kawaida kuku huanza kutetea(Kutoa mlio wa ishara ya kutaga) anapofikisha miezi sita hadi minane. Hivyo ni vyema viota viandaliwe mapema wakiwa na umri wa
Pakua: Kitabu cha Magonjwa Ya Kuku 🐔
Pata Nakala yako bure yatambue na uweze kupambana na Magonjwa Makuu ya Kuku,Tiba na Kinga.KIlicho andaliwa na wataalamu wa Kilimo na Ufugaji.