mda wa kilimo ni sasa!

Kilimo Tanzania ni Tovuti no1, Tuliojikita na kukupa nyenzo mbali mbali wewe kama Mkulima na mfugaji katika kukupatia Ujuzi pia Ustadi katika Nyanja na Sekta hii , Pitia Nyaraka zetu uweze jifunza zaidi.

KILIMO

Jifunze Kilimo Biashara,Faida na Bei za Masoko

UFUGAJI

Pata Elimu ya Ufugaji wa Kisasa, Magonjwa na Tiba

VITABU

Soma Vitabu vilivo andaliwa na Wataalamu wetu Kupitia Duka la Mtandaoni

NYARAKA TULIZO NAZO

KILIMO BORA CHA BIASHARA

Wewe kama Mkulima inakupasa kupata faida kutokana na Jasho lako na Mbinu mbali mbali unazozitumia katika kilimo, Hali ya Hewa ,zama na Nyakati zimebadilika – Hivyo inabidi kusoma na kutia juhudi ili uweze nufaika na Kilimo unachofanya. Kwa maelezo na kina tumeandika nyaraka hizi kuku saidia.

ufugaji wa kisasa

Uwanja wa Ufugaji ni Mkubwa na hakuna haujuaye yote, Pitia mara kwa mara vitabu na nyaraka zitakazowekwa ili uweze kuwa na elimu endelevu, katika sekta ya Ufugaji

MAGONJWA NA TIBA

Katika swala zima la ufugaji na Kilimo tumeona tujikite pia kweye magonjwa  ambayo yanaweza athiri uzalishaji wetu katika kilimo au Ukuaji na ongezeko la Wanyama na Ndege tunaofuga. Yajua Magonjwa na Tiba hizo kupitia Eneo ili. 

Wasomaji wetu wanasemaje

Uwepo wenu kna Eliu Yenu nimeipenda sana., Lazima nipige Pesa mwaka Huu kwenye Kilimo cha Karoti.

Bahati George

Nashukuru sana,Endeleeni kukaza Buti,Maana Elimu hii tunaipata hapa bure na imenisaidia sana

Alfred Malosha

pata nyaraka mpya hapa

Eneo maalumu utakosoma Nyaraka mpya kwa Uharaka ni Hapa ,Pitia hii

Kilimo101

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »
Ufugaji

HIZI NDIZO TOFAUTI YA ASALI YA NYUKI WADOGO NA ASALI YA NYUKI WAKUBWA

Watuwengihuwatunatumiaasalipasipokujuawametokananaasaliwaainagani, hivyokilaasaliambayounaitumiakuanzialeonilazimaujuewanatakonananyukiwaainagani. AsalizaNYUKI WAKUBWA na WADOGO zinatofautianakatika mambo kadhaanahvyonimuhimukujuatofautihizokablahujanunuailikuanauhakika. NYUKI WADOGO 1. Ni nyepesizaidikwaniinakiwango cha majikuanziaasilimia 24 2. Ina ladhaya UCHACHU ingawanitamusana. 3. Mara nyingiinarangiya KAHAWIA ILIYOKOLEA inayoendakwenye WEUSI

Read More »
Kilimo101

BANDA LA KULELEA VIFARANGA

Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ufikirie yafuatayo:- Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua vifaranga wako mara kwa mara.

Read More »

Pakua: Kitabu cha Magonjwa Ya Kuku 🐔

Pata Nakala yako bure yatambue na uweze kupambana na Magonjwa Makuu ya Kuku,Tiba na Kinga.KIlicho andaliwa na wataalamu wa Kilimo na Ufugaji.

USISITE KUWASILIANA NASI KUPITIA UKURASA HUU