ZIJUE FAIDA ZA KULIMA MAPAPAI

Hili ni aina ya zao la matunda linalopatikana katika familia ya caricaceae na linajulikana kwa jina la kisayansi carica papaya
Papai ni moja ya matunda ambayo huchukua muda mfupi hadi kufikia mavuno. Huchukua muda wa miezi 8-9 kufikia mavuno. Matunda katika mpapai utokeza katika kila jani na mpapai kwa wiki moja unauwezo wa kutengeneza majani mawili na kwa makadilio mpapai huanza kutengeneza maua katika jani la
32 hii ikimaanisha ni baada ya wiki nne.
FAIDA KIUCHUMIHekari moja inauwezo wa kuwa na mipapai 1000-2500. Mavuno ya mapapai kwa miezi 8 – 9 kwa mavuno ya kwanza ni tani 40 – 60 ikiwa kila mpapai unaweka matunda 40 hadi 50 kwa miezi 8 – 9. Baada ya mavuno ya kwanza, mavuno ya mapapai hayana msimu hivyo yataendelea ndani ya miaka mitano katika uangalizi mzuri wa mipapai yako hadi kufikia kipindi ambacho mpapai wako utapokufa..


JINSI YA KUJUA FAIDA Kwa matunda 40 – miti 1000 jumla ya matunda 40,000 yatavunwaBei ya papai Tsh. 500 kwa papai 500 x 40,000 = 20,000,000/= Hivyo kwa kila mwezi ni tsh. 2,500,000/= kwa mipapai ya miezi 8 kufikia mavuno.
MahitajiMahitaji ya mipapai kwa mwezi hayazidi 500,000/-= hivyo unauhakika wa kupata faida ya 2,000,000/= kwa mwezi kutokana na zao la mapapai.

FAIDA ZA PAPAI KIAFYA.
Kama matunda mengine, papai  nalo lina faida zakekiafya na pia huweza kutumika kama dawa kwa baadhi ya matatzo ya kiafya,  kama una tatizo la choo kubwa ni nzuri. Halafu jambo jinginge papai ni kilainisho kizuri sana cha chama hasa nyama ya ngómbe. Toa hizo mbege weka kwenye chombo, pondaponda papai na uchanganya na hizo mbegu koroga taratibu katakata nyama vipande vidogovodogo weka humu kwenye mpondo na subiri masaa kadhaa. Hakika utaifaidi nyama yako mno itakuwa lainiiii.

PITIA
KILIMO BORA CHA TANGAWIZI

Muhimu: Maelezo hayo ni kwa ufupi na kwa bei ya kawaida sana na bei ya papai lenye kilo nzuri huzidi hapo. Pia mavuno huweza zidi hapo kwa maana hiyo faida huenda mbali zaidi ya hapo. 

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

BANDA LA KULELEA VIFARANGA

Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ufikirie yafuatayo:- Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua vifaranga wako mara kwa mara.

Read More »

Kilimo cha Tufaa

Tufaa ni tunda moja maarufu duniani ambalo hupendwa kuliwa na watu wa jamii zote, hii inatokana na utamu wake pamoja na faida za kiafya zinazopatikana

Read More »

KILIMO BORA CHA UFUTA

UTANGULIZI Ufuta (simsim/sesame) ni zao la kibiashara ambalo mbegu zake zina kiasi kikubwa cha mafuta kiasi cha asilimia 45 hadi 55.Na zao hili linaweza kulimwa maeneo

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »