MBINU ZA KUZINGATIA KATIKA UANDAAJI WA CHAKULA KWA KUKU WAKO
1. MAJI Maji ni muhimu sana kwa kuku wawapo bandani. Wape maji ya kutosha kila wakati unapoona yanapungua/kuisha ili waendelee kuyeyusha chakula wanachokula Nna kupunguza joto
1. MAJI Maji ni muhimu sana kwa kuku wawapo bandani. Wape maji ya kutosha kila wakati unapoona yanapungua/kuisha ili waendelee kuyeyusha chakula wanachokula Nna kupunguza joto
Mnyama huyu huaminika ndiye mwaminifu zaidi kati ya wanyama wote wanaofugwa nyumbaniKuna wale wanaomfuga pia kwa sababu humchukulia kama ‘kipenzi’ chao (pet).Je, wajua mbwa ni
Leo ningependa kuchambua faida mbalimbali za kuku wa kienyeji. Imezoeleka katika sehemu nyingi kuku hutumika kama kitoweo,hii ni faida moja wapo ya kuku,lakini pia mayai
kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kuchagua aina bora ya kuku wa kufuga ili ikuletee faida uliyodhamiria. Ufugaji unaweza kukutengenezea kipato cha ziada au
1. New Zealand Whites: Hii ni jamii mojawapo maarufu kwa ufugaji wa sungura wa nyama, na kwa nchi kama Marekani, nyama yake ndiyo bora zaidi kuliko
Siku ya leo tutaendelea na kwa kuangalia magonjwa mengine ya kuku ambayo hutibika kwa dawa kama ifuatayo: 1.KUHARA DAMU (coccidiosis) Ugonjwa huu husababishwa na virusi.Dalili. Kuku huzubaa
Kuku wa mayai ili watage vizuri wanatakiwa walishwe chakula bora kwa utaratibu unaotakiwa, ukiwazidishia au kuwaongezea hawatotaga vizuri. Wanatakiwa walishwe kati na kati kulingana na
Chanjo hii ina virusi hai vya mdondo vinavyotengeneza kinga dhidi ya ugonjwa wa mdondo/kideri. Virusi hivi vimeoteshwa kwenye mayai ya kuku wasiokuwa na magonjwa anuwai.Chanjo
Habari za wakati huu ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu,leo tutaangalia namna ya kulea vifaranga.Zifutazo ni hatua mbali mbali za maandalizi na mapokezi ya
Kuloirel ni kuku chotara ambaye asili yake ni nchini india, na imetokana na mchanganyiko wa dume la broiler na jike aina ya Rhode island red