AKHERI POWDER 100GM
AKHERI POWDER
Active Ingredients:
Carbaryl 5% w/w Lambdacyhalothrin 0.1% w/w
For Domestic use against:- Cockroaches, Fleas, Ants and any Other crawling insects: Dust the affected area.
For use in Poultry, Dogs, Goats and Cats against Lice, Fleas and Ticks: Dust your animals thoroughly.
Kiambato amalifu:
Carbaryl 5% w/w Lambdacyhalothrin 0.1% w/w
Kwa ajili ya kuua Mende, Utitiri, Viroboto, Sisimizi, Kunguni, Siafu, Mchwa na wadudu wengine watambaao; Nyunyiza sehemu zenye wadudu na katika maficho yao.
Kwa ajili ya kuua Viroboto, Chawa, na Kupe kwenye Mbwa, Paka, Kuku na Mbuzi
Wapake wanyama Akheri Powder mwili mzima na pia nyunyiza katika mabanda yao
Reviews
There are no reviews yet.