Kilimo Tanzania ni mahali sahihi kwa ajili ya wakulima na wafugaji wa mifugo, maana lengo la tovuti hii ni kusambaza ujuzi mbali mbali kwenye sekta ya kilimo na Mifugo kwa wakulima pia wafugaji ili waweze kupata Elimu na Nyaraka mbali mbali zilizo andaliwa na wataalamu kwa ajili ya kujifunza mbinu mbali mbali za kukuza kipato chao. Hasa kwenye nchi ya Tanzania

Hii ni Tovuti No:1 Tanzania itakayokupa habari mahususi kwenye sekta ya kilimo, ili kukuhasa taarifa muhimu za mazao mbali mbali

Kilimo Biashara na ufugaji: ndio jia pekee yakuji inua kiuchumi kwani tumezungukwa na ardhi nzuri yenye rutuba. hivyo tukiitumia vyema tuta ulisha Ulimwengu mzima na atimaye tuweze kujipatia faida.