Afisa kilimo Mkoa wa Mbeya akipokea maelezo ya kilimo cha mboga ndani ya hema maalumu ya kuoteshea nyanya iliyowekwa na Barton Tanzania kwa ushirikiano na TAHA katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya

KILIMO BORA CHA MAHINDI (part3)
KANUNI YA KWANZA Panda mapema Tayarisha shamba mapema kwa zana yoyote iliyo ndani ya uwezo wako (jembe, maksai, trekta). Kwa wilaya ya Mbozi Panda kuanzia