
YAFAHAMU MAGONJWA HATARI YA NYANYA NA DAWA ZAKE
Pamoja na umuhimu wake, magonjwa ya nyanya yamekuwa ni kikwazo kikubwa sana katika uzalishaji na ubora wa matunda ya nyanya. Sasa ili mkulima aweze kupata
Pamoja na umuhimu wake, magonjwa ya nyanya yamekuwa ni kikwazo kikubwa sana katika uzalishaji na ubora wa matunda ya nyanya. Sasa ili mkulima aweze kupata
Tengeneza tuta la kubwa wa 1m x 2m (ama urefu unaoona wewe kuwa unakufaaa ila tu upana ubaki kuwa 1mita) . Urefu na idadi ya
FAIDA ZA UTUMIAJI SAMADI MASHAMBANI : Samadi ni aina ya mbolea ambayo hutokana na vinyesi vya wanyama mbalimbali kama ng’ombe, kuku, mbuzi, kondoo na wengine. Hii
Habari za muda huu mpenzi msomaji wetu, bila shaka u mzima wa afya tele, nichukue furs hii adhimu kukuarika wewe katika somo letu la leo,
Katika maeneo mengi ya Afrika mashariki hususani Tanzania tuna kiasi kikubwa sana cha maji kwenye mito, chemichemi, maziwa na maji ya ardhini(undergroundwater) ambapo asilimia 70%
Udongo ni rasilimali muhimu inayotumiwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo ambacho kinategemewa na watanzania kuendesha uchumi wa taifa. Lakini uharibifu wa mazingira umechangia kushuka kwa
Mchicha ni mboga za majani ambazo zina faida lukuki katika miili yetu. Ukiachilia mbali faida hizo pia kilimo cha mchicha kina faida lukuki hasa pale
Mboji ni nini? Mboji ni aina ya mbolea ya asili yenye rangi nyeusi na harufu nzuri ya kidongo ambayo hutokana na kuoza kwa mchanganyiko wa
na la kitalaam ni Curcuma domestica au Curcuma longa na kwa kiingereza niturmeric. Zao hili asili yake ni Mashariki ya Mbali, na linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera,
Matumizi ya mbolea ya mboji katika kilimo cha mazao yana faida zifuatazo; Utengenezaji wa mbolea ya mboji hauna gharama na ni rahisi hivyo wakulima wa ngazi