
FANYA YAFUATAYO KUEPUKA MAGONJWA YA KUKU YA MLIPUKO.
Mlipuko wa magonjwa ni moja ya sababu za hasara kubwa kwa wafugaji na vifo vinavyotokea kwa wakati mmoja. Pindi mfugaji anapokumbwa na janga la vifo
Mlipuko wa magonjwa ni moja ya sababu za hasara kubwa kwa wafugaji na vifo vinavyotokea kwa wakati mmoja. Pindi mfugaji anapokumbwa na janga la vifo
Mnyama huyu huaminika ndiye mwaminifu zaidi kati ya wanyama wote wanaofugwa nyumbani Kuna wale wanaomfuga pia kwa sababu humchukulia kama ‘kipenzi’ chao (pet). Je, wajua
MAGONJWA YA KUKU/TIBA/KINGA. Habari ya uzima ndugu mfugaji, ni matumaini yangu u mzima. Mimi ni mzima na leo tunaanza somo letu la magonjwa ya kuku,
Watuwengihuwatunatumiaasalipasipokujuawametokananaasaliwaainagani, hivyokilaasaliambayounaitumiakuanzialeonilazimaujuewanatakonananyukiwaainagani. AsalizaNYUKI WAKUBWA na WADOGO zinatofautianakatika mambo kadhaanahvyonimuhimukujuatofautihizokablahujanunuailikuanauhakika. NYUKI WADOGO 1. Ni nyepesizaidikwaniinakiwango cha majikuanziaasilimia 24 2. Ina ladhaya UCHACHU ingawanitamusana. 3. Mara nyingiinarangiya KAHAWIA ILIYOKOLEA inayoendakwenye WEUSI
Ufugaji wa kuku wa kienyeji chotara. Tunaposema chotara tuna maanisha ni mchanganyingo wa aina mbili za kuku. Mfano mchanganyiko wa kienyeji na kenbro wanajulikana kama
Kabla ya kuanza ufugaji wa bata mzinga ni lazima kuhakikisha una chakula cha kutosha kwa sababu ulishaji wa ndege hawa kadri wanavyokua huwa na gharama
Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe. Aina ya bwawa la kufugia samaki. Bwawa la kuchimba udongo
Viota ni mahali ambapo kuku hutaga mayai, kuhatamia na kuangua vifaranga. Hii inamaanisha kuwa viota ni sehemu muhimu sana ya kuzingatia ili kuweza kupata mayai
Katika maeneo mengi ya Afrika mashariki hususani Tanzania tuna kiasi kikubwa sana cha maji kwenye mito, chemichemi, maziwa na maji ya ardhini(undergroundwater) ambapo asilimia 70%
Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya