CORONA VIRUS EDUCATIONAL POST

Naomba twende polepole

Vyanzo vya vifo duniani na idadi (WHO, 2019)

Heart diseases – mil 9.43
Stroke – mil 5.73
COPD – mil 3.04
Pumu – mil 2.96
Alzheimer’s – mil 1.99
Cancer ya mapafu – mil 1.71
Kisukari – mil 1.6
Ajali za barabarani – mil 1.4
Tumbo – mil 1.38
TB – mil 1.29

Haya ni magonjwa ambayo yapo miaka na miaka, medias zimetulia kimya km hkn kinachoendelea. Mpk wkt naandika hii post kulikua na vifo 7,171 tu vya Corona dunia nzima, ila pia tangu 2020 ianze tyr kuna vifo 65,700 vya Malaria dunia nzima. Hkn mtu yyt anayezungumzia Malaria hata kdg, hkn mtu anazungumzia HIV au tuseme seasonal flue ambayo iliuwa wamerakani hadi 80,000 kwa mwaka. Kwann Corona?

Mainstream media hua zinatumika sn kuPush agenda, ndio maana breaking news mara zote zina vichwa vya habari vya kutisha na sio vya kuhabarisha. Ubongo wako ukiwekewa hofu kubwa utakua attention sn kuendelea kufatilia kinachojiri, na ndivyo media zinavyotumika kusambaza agenda fulani

iatrogenesis ni kifo kinachomkuta mgonjwa baada ya kupewa taarifa za ugonjwa wake na daktari na kutishwa kua tatizo lake halitibiki. Mtu huyo automatically hua anakufa kwa hofu na sio ugonjwa. Mtu akiambiwa kua ana HIV, km hatopata ushauri nasaha, basi atakufa siku si nyingi, huyo mtu usikute ameishi miaka mingi akiwa na UKIMWI na hajawahi kua na matatizo kbs, ila baada ya kuambiwa ana ukimwi, ndo matatizo yanaanza hadi umauti. Kilichomuua si ukimwi bali ni iatrogenesis. Mwaka jana pekee watu 284,000 wamefariki kwa iatrogenesis

Corona haiuwi! Chances za kufa ukipata Corona ni 3-4% tu, una % kubwa ya kupona kuliko kufa. 90% ya waliokufa na Corona ni wazee 60 yrs+. Katika wagonjwa 182,699 ni 7,171 tu ndo wamefariki, only 3.9% wengi wanapona. Kinachomuua mgonjwa wa Corona ni iatrogenesis na kelele za media. Km alivyosema Elon Musk – Panic ya Corona ni upumbavu

PITIA
MFAHAMU MDUDU HUYU MWARIBIFU WA MAHARAGE KWA UNDANI ZAIDI

Politically and economically motivated

Source: FC
University of Hamburg data

The number of deaths in the world in the first two months of 2020 2,360 : Corona virus 69,602 : Common cold

  140,584 : Malaria
  153,696 : suicide
  193,479 : road accident
240,950 : HIV loss
 358,471 : alcohol
  716,498 : smoking
 1,177,141 : Cancer

Then do you think Corona is dangerous? Or is the purpose of the media campaign to settle the trade war between China and America or to reduce financial markets to prepare the stage of financial markets for mergers and acquisitions or to sell US Treasury bonds to cover the fiscal deficit in them !!

Do you know that almost 25,000 people die from starvation everyday i.e. 9,000,000 (Nine Million) a year and there is no mention in media.

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

Kilimo Cha Zao La Choroko

Choroko ni zao la chakula na biashara lenye kiasi kikubwa cha protini na madini ya phosphorus na calicium.Zao hili likilimwa vizuri hutoa mavuno kati ya

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »