FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI

tangawizi,faida,juice

1. Huondoa sumu mwilini haraka sana

2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi

3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi

4. Huondoa uvimbe mwilini

  1. Huondoa msongamano mapafuni
  2. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake
  3. Huondoa maumivu ya koo
  4. Huua virusi wa homa
  5. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini
  6. Huondoa homa hata homa ya baridi (chills)
  7. Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua kimeng’enya ambacho ni chakula cha seli za kansa ya tezi dume kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa ndani ya masaa mawili au manne bila hicho kimeng’enya.
  8. Tangawizi ina kiinilishe mhimu sana
    ambacho huzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘gingerol”
  9. Hutibu kansa zinazoweza kusababishwa na kupata choo kigumu muda mrefu (constipation-r
    elated cancer)
  10. Ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenye damu (leukemia)
  11. Ni dawa nzuri dhidi ya kansa ya mapafu (lung cancer)
  12. Huzuia kujizalisha kwa bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’, bakteria huyu ndiye husababisha vidonda vya tumbo mwilini, pia hutibu kiungulia, na kanza mbalimbali za tumbo
  13. Ni msaada sana katika kuzuia na kutibu kansa ya titi
  14. Hutibu kanza za kwenye kizazi na kanza za kwenye mirija ya uzazi
  15. Huongeza msukumo wa damu
  16. Husaidia kuzuia shambulio la moyo
  17. Huzuia damu kuganda
  18. Hushusha kolesto
  19. Husafisha damu
  20. Husaidia watu wenye kukakamaa kwa mishipa
  21. Husaidia kuzuia kutapika. Husaidia hata wale wanaosafiri baharini wasipatwe na kichefuchefu
  22. Husaidia kuondoa maumivu kutokana na mkao mmoja wa mrefu ama kusimama au kukaa
  23. Husaidia uzalishwaji wa juisi vimeng’enya kwa ajili ya kumeng’enya chakula
  24. Husaidia kuzuia kuharisha
  25. Husaidia mfumo wa upumuaji na kutuliza dalili za pumu
  26. Hutibu tatizo la miguu kuwaka moto
  27. Hutibu homa ya kichwa
  28. Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
  29. Hutibu homa za asubuhi hata kwa mama mjamzito
  30. Husaidia kupunguza homa ya baridi yabisi (helps reduce inflammation of arthritis)
  31. Huimarisha afya ya figo
  32. Husaidia kupunguza uchovu unaotokana na matibabu yaliyopita ya mionzi
  33. Ina madini ya potassium ya kutosha
  34. Ina madini ya manganese ambayo nimhimu katika kuuongeza mfumo wa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita
  35. Ina kitu kinaitwa ‘silicon’ ambacho chenyewe kazi yake hasa ni kuongeza afya ya ngozi, nywele, meno na kucha
  36. Husaidia umeng’enywaji wa madini ya calcium
  37. Pia ina vitamini A, C, E, B-complex, chuma, zinki , magnesium, phosphorus, sodium, calcium, na beta-carotene
  38. Hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita
PITIA
MCHANGANUAO WA KILIMO BORA CHA NANASI NA FAIDA UTAZOZIPATA

BLEND KAMA UNAVYO TENGENEZA JUICE YA KAWAIDA KISHA KUNYWA GLASS MOJA KWA SIKU.

AU UNAWEZA KUJENGA MAZOEA YA KUTAFUNA VIPANDE KADHAA KILA SIKU ASUBUHI KABLA HUJALA KITU

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

Kilimo cha Tangawizi

Kilimo cha tangawizi kimekuwa kikiwapa unafuu wakulima wa sehemu nyingi hapa nchini hasa katika mkoa wa Kilimanjaro katika wilaya ya same Tukisema kuna mikoa iliyo

Read More »

KILIMO BORA CHA VIAZI MVIRINGO

UTANGULIZI Viazi mviringo ni zao muhimu la chakula na biashara katika nchi nyingi zinazoendelea. viazi husitawi vizuri sehemu zenye miinuko kati ya mita 1300 hadi

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »