HIZI NDIZO FAIDA UTAKAZOZIPATA UTAPOAMAUA KUFUGA KUKU WA KIENYEJI.

Leo ningependa kuchambua faida mbalimbali za kuku wa kienyeji. Imezoeleka katika sehemu nyingi kuku hutumika kama kitoweo,hii ni faida moja wapo ya kuku,lakini pia mayai ya kuku wa asili hua na virutubisho kama Vitamin A,Vitamin E,Vitamin D,vitamin B12,madini ya zinc,madini chuma na pia protein ambayo ni muhimu sana katika ujenzi wa mwili.                                                                                   
Kuku hufugwa kiabishara ni ajira nzuri kwa mfugaji. Ufungaji wa kuku huitaji mtaji kidogo katika kuanzisha, pia eneo la dogo. Mfano unaweza kuanza na mtaji wa kuku 7,matetea watano na majogoo watatu. Kama kuku hawa watapata chakula kilicho bora kuku mmoja huweza kutaga na kutoto hadi vifaranga 12. 


Hivyo kwa matetea watano huweza kufikisha hadi vifaranga 50. Mfugaji akiweza kulea Angalau vifaranga 40  ukijumlisha na wale Saba wa mwanzo ni jumla ya kuku 47, kwa idadi hiyo ya kuku inamaana kutakua na ongezeko kubwa la utotoleshaji.kwa wafugaji wasio kua na mtaji mkubwa unaweza kuuza kuku hata kumi kwa bei ya kuanzia 20000/= hadi 25000/=  ambapo huweza kupata laki 2 (200,000/=).


Fedha hii ikatumika katika kununua chakula na madawa kupambana na magonjwa kwa njia huu mfugaji huweza hata kufikia kuku 1000 hivyo kufanya mfungaji.
Kuwa na mtaji wa 20,000,000 kwa wasio na maeneo ya kutosha ,usiogope biashara hii hujiendesha yenyewe ukianza vizuri unaweza kuuza mayai au kiasi fulani cha kuku ,fedha hiyo ikatumika katika kujiendeleza katika biashara hii.

PITIA
Tambua faida ya matumizi ya Choya (rosela) kiafya


kuku huliwa kila siku sehemu mbali mbali kama kwenye migahawa, hotelini na kwa mama ntilie hivyo solo lake in la uhakika.
Malighafi za kujengea band la kuku hupatikana kirahisi katika sehemu mbali mbali  hata maeneo ya vijijini. Pia vifaa vyake hupatikana katika maduka ya mifugo na huweza kujengwa vifaa vya asili katika maeneo  yasio na maduka hayo.

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

KICHAA CHA MBWA.

Habari wakulima na wafugaji,  Kichaa cha mbwa (Rabies) ni ugonjwa unaowapata wanyama wote wanyonyeshao (Mbwa, Paka, Binadamu, Ng’ombe nk)Ugonjwa huu unasababishwa na kirusi (Rabies Virus)Virusi

Read More »

KILIMO CHA UYOGA

Kwa kuwa #uyoga upo wa aina mbalimbali, usitawishaji wake hutofautiana katika mahitaji yake, ikiwa ni pamoja na hali ya hewa, malighafi za #kuoteshea, urahisi wa

Read More »

KILIMO BORA CHA VIAZI MVIRINGO

UTANGULIZI Viazi mviringo ni zao muhimu la chakula na biashara katika nchi nyingi zinazoendelea. viazi husitawi vizuri sehemu zenye miinuko kati ya mita 1300 hadi

Read More »

FAIDA ZA MBOLEA YA MBOJI

Matumizi ya mbolea ya mboji katika kilimo cha mazao yana faida zifuatazo; Utengenezaji wa mbolea ya mboji hauna gharama na ni rahisi hivyo wakulima wa ngazi

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »