HIZI NDIZO FAIDA ZA VITUNGUU SWAUMU KATIKA UFUGAJI WA KUKU

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya dawa hizo.
Dawa ya kutibu Homa ya Matumbo “Fowl Typhoid” ni Kitunguu swaumu
Kuandaa
•Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu
•toa maganda.
•Kisha twanga
•changanya na maji kiasi cha lita moja
•chuja na kuwapa maji yake kwa muda wa juma m
PITIA
UCHANGANYAJI WA VYAKULA VYA MIFUGO

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

Kilimo Safi cha Mahindi

MAHINDI ni nafaka ambayo ni chakula muhimu sana na huzalishwa na kutumika kwa wingi katika mataifa ya Afrika yaliyomo kusini mwa jangwa la Sahara. Ni

Read More »

MISINGI YA KILIMO BORA CHA BINZARI

na la kitalaam ni Curcuma domestica au Curcuma longa na kwa kiingereza niturmeric. Zao hili asili yake ni Mashariki ya Mbali, na linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera,

Read More »