HIZI NDIZO TOFAUTI YA ASALI YA NYUKI WADOGO NA ASALI YA NYUKI WAKUBWA

Watuwengihuwatunatumiaasalipasipokujuawametokananaasaliwaainagani, hivyokilaasaliambayounaitumiakuanzialeonilazimaujuewanatakonananyukiwaainagani. AsalizaNYUKI WAKUBWA na WADOGO zinatofautianakatika mambo kadhaanahvyonimuhimukujuatofautihizokablahujanunuailikuanauhakika.

NYUKI WADOGO

1. Ni nyepesizaidikwaniinakiwango cha majikuanziaasilimia 24

2. Ina ladhaya UCHACHU ingawanitamusana.

3. Mara nyingiinarangiya KAHAWIA ILIYOKOLEA inayoendakwenye WEUSI

NYUKI WAKUBWA

1. Ni nzitokulikoyanyukiwadogokwaniinakiwango cha majikuanziaasilimia 17 hadi 20.

2. Ni tamumojakwamojabilakuanaladhayauchachukamanyukiwadogo

3. Ina ranginyingikuanzia NYEUPE, NYANO, KAHAWIA ILIYOPOA, KAHAWIA ILIYOKOZA n.k

Hizonitofautizamuhimukuzijuakwanizitakuwezeshakupataasaliunayoitakanakuepukakuibiwa

PITIA
UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER) HATUA KWA HATUA

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

Kilimo cha Pilipili Manga

Kilimo cha Pilipili Manga, kuanzia mbegu bora, magonjwa, utaalamu mpaka masoko Katika kuabarishana fursa lukuki zilizoko kwenye maeneo tofauti tofauti ndani ya inchi yetu leo

Read More »

MAGONJWA MAARUFU YA SUNGURA

Sungura huwa hawapati magonjwa mengi. Hata hivyo wakiwekwa katika mazingira machafu wanaweza kushambuliwa na magonjwa maarufu yafuatayo: MAGONJWA MAARUFU YA SUNGURA 1.COCCIDIOSIS Hushambulia sana sungura

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »