IJUE MBEGU BORA WA KUKU AINA YA KUROILER

Kuroiler ni aina ya kuku asili ya India.(common sana nchini India). Kuku hawa walianza mnamo mwaka 1990 ni kuku mchanganyiko wa
1. Broliler male + Female Rhode island red

2. White leghorm male + Female Rhode island 
Ni mbegu bora sana inayojulikana kwa uvumulivu wa kustahimili mazingira yoyote hata yale magumu. Wanahimili magonjwa na unaweza wafuga kienyeji na kukupa matokeo mazuri sana. Hawaambukizwi magojwa kirahisi.Hutaga akiwa na miezi 5. Jogoo anaweza kufikia kilo 5 akiwa na miezi 5 na mtetea 3.5. Wanasifa ya kutaga mayai kwa wingi wastani wa mayai 250 – 300 kwa mwaka.Mayai yao yanakiini cha njano kama wa kienyeji.

PITIA
KUFUGA KUKU WA KIENYEJI KUNALIPA

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

ZIFAHAMU AINA NNE ZA MTAMA

Mtama ni kundi la mbegu punje ndogo katika jamii ya nafaka ambayo ina kiasi kikubwa cha kabohaidreti.Ni zao lenye uwezo mkubwa wa kuvumilia hali ya

Read More »

KILIMO BORA CHA KOROSHO

Korosho ni zao ambalo chimbuko lake ni Portuguese na baadae 16 century ndipo lilipo fika africa katika nchi ya msumbiji na baadae likafika nchini Kenya

Read More »

KILIMO BORA CHA ALIZETI

ALIZETI-SUNFLOWER (Helianthus annus) UTANGULIZI Alizeti ni zao mojawapo kati ya mazao muhimu yanayotoa mbegu za mafuta. Hutoa mafuta kati ya asilimia 35– 45 na mashudu

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »