KANUNI ZA UFUGAJI WA KULOIREL

Kuloirel ni kuku chotara ambaye asili yake ni nchini india, na imetokana na mchanganyiko wa  dume la broiler na jike aina ya Rhode island red au dume la white legham na jike la Rhode island red. Kuku hawa ni moja kati ya kuku wasio na gharama kubwa katika kuwafuga lakini pia wana faida kubwa pindi ukiamua kuwafuga. Lakini pia
kuku hawa ni moja kati ya mbegu ambayo inafanya vizuri sana katika nchi nyingi.

SIFA ZA KULOIREL

1.       Ni aina ya kuku ambao hutumika kwa matumizi ya ani nyama pamoja na mayai
2.        Kuku mmoja anauwezo wa kutaga mayai 150 hamsini kwa mwaka ukilinganisha na kuku wengine hutoa 40- 50 kwa mwaka.
3.       Madume ya  kuloirel hua yana kilo 3.5  na jike ni kilo 2.5  ukilinganisha na kuku wengine dume hua na kilo 2.5 na jike ni kilo 1.5.
4.       Pia ni moja kati ya aina ambayo haipati magonjwa kirahisi (disease resistance)

5.       Kuku hawa hawana gharama sana katika kuwalisha kwa sababu wanauwezo pia wa kula chakula kama kuku wa kienyeji. 

Banda 
Kama walivyo  kuku wengine banda lazima liwe bora ili kuweza kupata kuku bora pamoja na mayai mengi, ila pia kuku wa aina ya kuroiler sio lazima uwafungie ndani moja kwa moja unaweza kutengeneza sehemu ambayo utawafungulia ili kuweza kujipatia chakulatofauti na kuku wa kisasa.

Lakini pia ni vyema kila wakati ukazingatia usafi ni muhimu hivyo ni vyema kuzingatia hilo

chakula

Chakula ni lazima kiwe bora ili kupata kuku bora pamoja na mayai ya kutosha.

1.       Kuku jike mmoja anakadiliwa kula kilo 5-8 kabla ya kuanza kutaga.
2.       muhimu sana kwa mfugaji kujifunza jinsi ya kuchanganya chakula mwenyewe.

PITIA
BANDA LA KULELEA VIFARANGA

3.       kuanzia siku 1 hadi wiki 4 unatakiwa kuwapa chakula cha kuanzia (chick starter mash)
4.       kuanzia wiki ya 4 hadi 8 unawapa chakula cha kukuzia (chick grower mash)

5.       Kuanzia wiki ya kwanza kuanza kutaga hadi mwisho unatakiwa kuwapa chakula(layersmash)6.        7.       Lakini pia inakadiliwa kua na drinker 15 na vyombo vya kulia chakula, wastani wa kuku 1000.

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

Kahawa Inayoleta Utajiri

KAHAWA, ni zao kubwa la biashara, inachukua nafasi ya pili kwa  kuingizia taifa fedha nyingi za kigeni baada ya zao la Tumbaku, wakulima wengi wanaofuata

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »