KILIMO BORA CHA CABBAGE

UTANGULIZI
Chinese cabbage ni moja kati ya mazao ya mbogamboga inayo limwa sana nchini Tanzania.asili yake ni china na badae likasambaa katika nchi za Ethipia,south africa,zimbabwe na Tanzania.

HALI YA HEWAJOTOLIDI;Chinese cabbage linastawi na kukua vizuri kwenye maeneo yenye jotolidi 18 hadi 22ocUnyevunyevu; chinese cabbage ni zao linalo tegemea umwagiliaji hivo  linaitaji maji mengi wakati wa ukuaji.Udongo;chinese cabbage linakua vizuri kwenye udongo wa kichanga na wenye unyevunyevu wa kutoshaPH; 5.5 hadi 7.6
KUANDAA SHAMBAUdongo unatakiwa utifuliwe vizuri kabla ya kupanda unaweza kutumia jembe la mkono au machaku na chisel na andaa shamba wiki 6 kabla ya kupanda.
KUANDAA KITALUKitalu kinatakiwa kiwe na upana wa mita 1 yan sentimita 100 na urefu wa mita 5 yani sentimita 500. Kitalu kitifuliwe vizuri na kiwe na kingo ili kuzuia maji kutoka nje ya kitalu.kisha panda mbegu kwenye kitalu kwa sm 15 hadi 20 mstari hadi msitari na panda mbegu sm 2 kati ya mbegu na mbegu na fukia sm 1 hadi 2.
KUPANDAKwa kupanda moja kwa moja chimba udongo sm 2 hadi 3 kwa kutumia jembe la mkono na panda nafasi ya 30 mstari hadi mstari na 30 mbegu hadi mbegu na fukia sm1 hadi 2.
Na kwakupandikiza hamisha miche inapo fikia urefu was sm 5 na  chagua miche yenye afya na isiwe na magonjwa.

MBOLEA
Kama unatumia mbolea ya ng’ombe, kuku na nguruwe tumia ndoo katika kila kitalu chenye mita 5
Na pia weka mbolea ya kukuzia UREA gram 50 kwa kila kitalu chenye mita 5 pale mmea unapofikia majani matano.

PALIZI
Tumia jembe la mkono kupalilia magugu pale yanapo jitokeza.

MAGONJWA NA WADUDU WAALIBIFU

PITIA
MAAJABU YA SHUBIRI MWITU KAMA TIBA KWA KUKU

WADUDU
v  Sota (bagrada bugs)
v  Dudu mafuta(cabbage aphids)
v  Minyoo ya chini(cut worm)
Tumia chemicali za kuua wadudu kama vile ninja, supercorn, wilcron na perfecron  na pia kuondoa magugu pamoja na mimea yenye wadudu  na pia weka shamba safi wakati wote.

MAGONJWA
v  Ubuli unga(powdery meldew)
v  Kuoza kwa mizizi(black rot)
v  Rub root
Zuia kwa kupanda mbegu safi na kuondoa mazao yaliyo athilika na ugonjwa.

KUVUNA
Chinese ukomaa baada ya miezi 3 hadi 4 inategemea na aina
Vuna kwa kung’oa kwa mkono au unaweza kutumia kisu kukata.

UTUNZAJIMaisha ya chinese ni mafupi hivyo unatakiwa kusafisha kwa kuosha na pia baada ya hapo unaweza kutunza kwenye friji  ili kuzuia kukauk

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

Kilimo bora cha nyanya

[vc_row][vc_column][vc_column_text] Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani. Kwa Tanzania, nyanya ni zao la kwanza katika mazao ya mboga linalo limwa

Read More »

KILIMO BORA CHA VIAZI MVIRINGO

                                               UTANGULIZI Viazi mviringo ni zao muhimu la chakula na biashara katika nchi nyingi zinazoendelea. viazi husitawi vizuri sehemu zenye miinuko kati ya mita

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »