KIPANDE CHA LIMAO KILA SIKU CHATOSHA KUDHIBITI UGONJWA WA SARATANI

KIPANDE CHA LIMAO KILA SIKU CHATOSHA KUDHIBITI UGONJWA WA SARATANI

KIPANDE CHA LIMAO KILA SIKU CHATOSHA KUDHIBITI UGONJWA WA SARATANI : Limao hutumiwa kama kiungo katika mapishi mbalimbali ya vyakula vyetu. Zao hili kitaalamu hujumuishwa katika kundi la Citrus.

Hivi karibuni limegundulika kuwa na manufaa makubwa zaidi kwa mwanadamu. Tunda hili limeonyesha miujiza ya kuweza kuangamiza chembechembe za ugonjwa wa saratani katika mwili wa binaadamu, mara elfu moja zaidi ya dawa za viwandani.

Wanasayansi hawa walikuwa katika jitihada zao za kutafiti tiba mbadala ambayo itakuwa na tija zaidi kwa binaadamu ndipo walipogundua miujiza hii. Hivyo, wanatuasa kuwasaidia ndugu au jamaa kwa kuwapasha habari za uvumbuzi huu.

• Tunda lina ladha ya kuvutia na vilevile haliingilii utendaji kazi wa dawa yeyote mwilini. Ebu Fikiria, watu wangapi wanaweza kufa iwapo siri ya tiba iliyomo kwenye tunda hili itafichwa, ili tu kuyanusuru makampuni yanayojikusanyia
faida kubwa kutokana na utengenezaji wa madawa ya ugonjwa huu?

• Jamii za miti ya Milimao hujumuisha mlimao wenyewe na mndimu. Hivyo Tunashauriwa kutumia matunda ya miti hiyo aidha kwa kuyala moja kwa moja. Kuyasaga na kutengeneza juisi, kutumia kwa kuchanganya kwenye kinywaji kingine kama uji nakadhalika.

MATUNDA YA MLIMAO

• Tunda hii linasifika kwa ufanisi mkubwa wakati ikitibu ugonjwa huu, lakini la kuvutiwa zaidi ni namna linavyoweza
kuukabili uvimbe wowote unaosababishwa na ukuaji holela wa tishu za mwili. Watafati wanasema, limao lina kinga dhidi ya aina zote za saratani, pia limethibitika kuwa na wigo mpana wa kuzuia mashambulizi ya vijidudu na wadudu mbalimbali mwilini. Baadhi yao ni kama bakteria na fangasi, minyoo na wakati huohuo huondosha shinikizo la damu na huchangamsha mwili na akili.

PITIA
UFUGAJI WA KAMBARE KITAALAMU 2

• Chanzo chetu cha habari hii ni cha kuvutia, moja ya makampuni makubwa ya utengenezaji madawa ulimwenguni ambayo yanatamka waziwazi kwamba baada ya kulifanyia utafiti wa kina wa kimaabara zaidi ya mara ishirini tunda hili tangu mwaka 1970, waligundua kwamba juisi yake kuwa na uwezo mkubwa wa kuangamiza chembechembe za aina kumi na mbili za saratani, kama vile saratani ya tumbo, maziwa, makende, mapafu, bandama na nyinginezo nyingi zinazojulikana. Virutubishi vilivyomo katika tunda hili vimethibitika kuwa na ubora mara elfu zaidi ya madawa kama Adriamycin, dawa ambayo hutumika ulimwenguni kote kudhibiti ukuaji wa chembechembe za saratani. Kadhalika, tiba ya limao haiingilii utendaji kazi wa chembechembe zingine muhimu mwilini.

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

Kilimo cha Maharage

Donec odio. Quisque volutpat mattis eros. Nullam malesuada erat ut turpis. Suspendisse urna nibh, viverra non, semper suscipit, posuere a, pede.

Read More »

MISINGI YA KILIMO BORA CHA BINZARI

na la kitalaam ni Curcuma domestica au Curcuma longa na kwa kiingereza niturmeric. Zao hili asili yake ni Mashariki ya Mbali, na linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera,

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »