MAMBO MUHIMU ZA KUZINAGATIA WAKATI WA UPANDAJI WA STRAWBERRY

Ili kuwa na mazao bora ambayo yatakuwezesha kupata soko la uhakika, bila vipingamizi, inashauriwa kuzalisha kwenye nyumba maalumu ya kuzalishia mazao (green house). Katika kuzalisha strawberry baada ya kujenga green house andaa mabomba ya plastiki ambayo yatawezesha kutoboa matundu kwa urahisi Matundu katika bomba hilo yawe na umbali wa inchi

1.    Ni vyema matundu hayo yakawa zigzag, ili kuruhusu mimea utakayopanda kukua vizuri bila kuwekeana kivuli.

2.   Tandika karatasi la nailoni sakafuni ili kuwezesha maji utakayotumia kunyeshea kurudi kwenye bwawa au sehemu ya kuhifadhia.

3.     Ning’iniza mabomba hayo kwa kutumia waya.

4.     Jaza kokote, yenye mapande makubwa kiasi.

5.    Panda miche kwenye kila tundu kwa uangalifu ili mizizi isikatwe na kokoto zinazoshikilia mmea. Kumwagilia Mimea ya strawberry inahitaji maji kwa kiasi kikubwa sana. Hii inamaanisha kuwa unahitaji kuwa na mfumo mzuri wa umwagiliaji kabla ya kuanza kilimo cha zao hili

6.    Unapaswa kumwagilia mara nne kwa siku, kila baada ya saa nne unapaswa kumwagilia kwa robo saa. Hii itawezesha mimea yote kupata maji ya kutosha. Endapo strawberry haitapata maji ya kutosha, uzalishaji wake pia utakuwa ni hafifu sana, kwani maua ya Strawberry inapooteshwa kwenye greenhouse hutoa mavuno mengi na yenye ubora yatachanua ipasavyo na hata matunda kukomaa inakuwa ni shida.

PITIA
MISINGI YA KILIMO BORA CHA KAROTI

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

ZIFAHAMU AINA NNE ZA MTAMA

Mtama ni kundi la mbegu punje ndogo katika jamii ya nafaka ambayo ina kiasi kikubwa cha kabohaidreti.Ni zao lenye uwezo mkubwa wa kuvumilia hali ya

Read More »

Kilimo cha Karoti

KILIMO CHA KAROTI KILIMO CHA KAROTI : Zao la karoti asili yake ni Asia ya Kati. Zao hili lilienea nchi za Ulaya kwa kupitia Bahari

Read More »

Huu ni mfano wa Kuigwa

  Shamba la kilimo cha umwagiliaji cha Mbogamboga la Ngongoseke lililoko katika kijiji cha Nsola wilayani Magu ni mfano wa kuigwa katika matumizi ya ziwa

Read More »

Kitambue Kilimo cha Kahawa

UTANGULIZI Kahawa ni miongoni mwa mazao ya biashara ya biashara yanayoliingizia taifa mapato mengi, kahawa ni zao la pili la biashara baada Tumbaku. Asili:kwa mujibu

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »