MAMBO YA MSINGI YA KUJIEPUSHA KATIKA UFUGAJI

Ndugu mfugaji ni ukweli usiopingika wala kujadilika kuwa katika ufugaji kuna baadhi ya mambo wafugaji tunayafanya lakini hayakupaswa kufanyika, yafuatayo ni ya kujiepusha nayo katika ufugaji:-

 

  • Kuacha banda chafu
  • Kuleta kuingiza kuku wageni bila kujua historia ya chanjo walipotoka.
  • Kuuza kuku wagonjwa.
  • Kuchinja kuku wagonjwa.
  • Kununua kuku wagonjwa.
  • Kutupa kuku waliokufa porini.
  • Kununua chanjo kwa wauzaji wanaofahamika kuwa hawana solar power au jenereta.
  • Kutibu kwa mazoea bila kuwasiliana na Afisa Mifugo.
  • Kutembelea mabanda ya jirani bila kuchukua tahadhari.
PITIA
AINA MBALIMBALI ZA SUNGURA (RABBIT BREEDS)

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

KILIMO BORA CHA DENGU

UTANGULIZI Dengu ni nafaka kama zilivyo nafaka zingine, ni zao la jamii ya mikunde pia ni zao la biashara, ni miogoni Mwa zao muhimu sana

Read More »

Kilimo Cha Papai

Papai ni moja ya tunda mashuhuli linatumika kwa kiasi kikubwa nchini Tanzania. Pia tunda hili linaweza kuwa na faida mbali na afya, katika kukuza uchumi

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »