Ili kupata mazao bora inabidi kuandaa shamba vizuri kwa kulisafisha na kuondoa mabaki yote ya mazao ya zamani na kuyachoma moto ili kuondoa mazalia ya wadudu kutoka katika mazao yaliyopita.
pia ni vyema kufanya kilimo cha mzunguko ili kuepuka wadudu kufanya makazi ya kudumu katika shamba lako.
Kwa pilipili mbuzi ni vyema kuchagua shamba ambalo halijawahi kulimwa karibuni nyanya, tumbaku au viazi mviringo kwani wadudu wanaodhuru mazao haya wanadhuru pia pilipili mbuzi.
endelea kutembelea KilimoTanzania

Tumia Njia Hii Ili Ufanikiwe Katika Kilimo Usihangaike Tena
Muda wote ule unapotaja kilimo, hutoacha kutaja uti wa mgongo wa nchi yeyote ile kwa njia moja ama nyingine. Katika umri wangu ilinibidi kujitosa katika