Shamba la kilimo cha umwagiliaji cha Mbogamboga la Ngongoseke lililoko katika kijiji cha Nsola wilayani Magu ni mfano wa kuigwa katika matumizi ya ziwa Victoria. Pichani, nyanya ndogondogo maarufu kwa jina la nyanyapori zikiwa zimelimwa kitalaam kwenye shamba hilo ambalo, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alilitembelea Septemba 13, 2012. Mtoto akiwa amenyanyuliwa juu ili aweze kumwona Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sabasaba Mjini Magu akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza, Septemba 13, 2012.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua gati la kupokelea samaki katika