Magonjwa Makuu ya Kuku, Tiba na Kinga

Sh0.00

Mwongozo huu umetayarishwa na Programu ya Kuendeleza Matumizi ya Utafiti (Research Into Use – RIU) kwa
kushirikiana na wataalamu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi. Shukrani za dhati ziwaendee Dk.
John Kaijage na Dk. Gabriel Shirima kwa kukusanya na kuhakiki taarifa za mwongozo huu. Shukrani ziwaendee Dk.
Peter Njau, Dk. Halifa Msami, Dk. Vallery Kessy, Dk. Chota, Bi. Wende Maulaga, Dk. John Soyi, Dk. Elizaberth Sekedio,
Dk. Mmeta Yongolo, Dk. Niwael Mtui Malamsha, Dk. Charles Mgaya, Nezarlon Kitosi na wataalamu wa mifugo
walioshiriki kwa namna moja au nyingine kwenye mchakato wa kuhakiki taarifa na kutoa maoni ya Mwongozo
huu.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Magonjwa Makuu ya Kuku, Tiba na Kinga”

Your email address will not be published. Required fields are marked *