ACARICIDES
OXYFARM 20 LA 100ML
Oxytetracycline Injection 20% Long Acting 100ML
COMPOSITION: Each ml. contains Oxytetracycline 200mg
Veterinary antibiotic containing 20 % Oxytetracycline for the control of bacterial and other microorganism infections.
Usage: deep intramuscular injection at 20 mg/Kg Body weight i.e. 1 ml/10 Kg body weight.
Apply only once.
OXYFARM 20 LA 100ML
Dawa ya Sindano kwa ajili ya kuua Vimelea mwilini mwa Wanyama.
Kimelea (kwa Kiingereza microbe) ni kiumbehai ambaye anaishi ndani au juu ya kiumbehai mwingine wa spishi tofauti na kupata virutubishi kutokana na mwili wa kiumbe huyo, ambaye kwa kawaida ni mkubwa zaidi, bila kumpa kiumbe mwenyeji faida yoyote. Kinyume chake, mara nyingi analeta hasara au kusababisha ugonjwa.
Reviews
There are no reviews yet.