Tumia Njia Hii Ili Ufanikiwe Katika Kilimo Usihangaike Tena

Muda wote ule unapotaja kilimo, hutoacha kutaja uti wa mgongo wa nchi yeyote ile kwa njia moja ama nyingine.

Katika umri wangu ilinibidi kujitosa katika ulimwengu huo wa kilimo kwani hakukuwa na jinsi nyingine ambayo ningeweza kuweka chochote mezani yaani ndiyo iliyokuwa shughuli yangu.

Nilianza kwa kufanya vibarua kwa matajiri waliokuwa wakifanya kilimo kama biashara na wala sio kupata lishe ya kila siku. Mwenyezi Mungu alinineemesha kwa kunipa nguvu ya kuchapa kazi na hata kuweza kuhifadhi kiwango cha pesa kwa siku kwa muda wa miaka takribani minne.

Baada ya kuona kwamba nilikuwa na fedha ambazo zingeniwezesha kukodi kipande kidogo cha ardhi, Pamoja na bidii nilizokuwa nazo niliamua kukodi robo ya hekari na kuanzisha ukulima wa kibinafsi kutafta mtaji wa kuniwezesha kukua na kuinua kilimo changu.

Nilijaaliwa neema kubwa kwani kila nilipoweka mkono kulima mmea, kwa kweli ulinawiri sana na hata kutoa mazao mengi sana ukilinganisha na wenzangu tuliokuwa tukilima nao.

Na kwa kuwa hasidi hana sababu, wakulima wenzangu walinionea wivu na kuniendea kwa mganga ili nisizidi kufanikiwa. Kwa kweli walifanikiwa kuzima nyota yangu iliyokuwa imekuwa tishio kwao kwa muda mfupi niliokuwepo.

Nilianza kutaabika na hata nikakosa fedha za kuweza kutunza mimea yangu na hivyo haikunawiri tena. Hasara iliendelea kunikumba ikiwa ni pamoja na madeni chungu nzima huku na kule kujaribu kujiinua tena.

Licha ya kutia juhudi zote hizo kwa kweli sikuwahi pata suluhu ya matatizo hayo, mpaka siku moja katika sehemu niliyokuwa nanunua dawa kwenye duka moja hivi, ambapo nilipata kibandiko kimoja kilichohusiana na Kiwanga doctors ambao walieleza kuwa wanaweza kurejesha nyota zilizoibiwa na mtu.

PITIA
Kilimo cha Binzari

Bila kusita niliwasiliana nao na nikafanya miadi nao na tukakutana na daktari husika ambaye aliniahidi kuibua nyota yangu kwa muda wa siku nne pekee.

Nilifuata masharti na maagizo aliyonipa kwa siku nne hizo ambapo niliona mabadiliko ya ghafla kwani mimea niliyokuwa nimelima ya matikiti maji ilianza kunawiri sana na kuongeza mazao mara dufu kinyume na ilivyokuwa hapo awali. Majirani walianza kushangaa kwa mara nyingine tena ilivyoanza kuwa.

Nilijua walichokifanya lakini sikushindania na kuwaanika kwani aibu ziliwafunika kwa mafanikio yangu, ambapo walijaribu tena kwenda kuchukua tunguli kwa mara nyingine tena pasi na mafanikio yeyote. Iliwabidi wengine hata kujiuzulu kufanya kilimo kwani walidhani nilikuwa nikichukua mazao yao usiku na wala sivyo.

Kwa kweli Kiwanga doctors wana uwezo mkubwa sana wakutatua matatizo mbalimbali kama vile ugonjwa wa pumu, maradhi ya moyo, Kisukari miongoni mwa magonjwa mengine

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

Kilimo bora cha nyanya -Tz

Utangulizi Nyanya ni zao la mboga linalolimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Nyanya ni aina

Read More »

Ujue Muhogo

MUHOGO ni moja ya mazao ya mizizi na lenye umuhimu katika mazao makuu ya chakula baada ya zao la mahindi nchini Tanzania. Umuhimu wa zao

Read More »

Kilimo Safi cha Mahindi

MAHINDI ni nafaka ambayo ni chakula muhimu sana na huzalishwa na kutumika kwa wingi katika mataifa ya Afrika yaliyomo kusini mwa jangwa la Sahara. Ni

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »