ZIJUE AINA ZA MABWAWA KWA AJILI YA KUFUGIA SAMAKI

Image result for ufugaji wa samaki sato

Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe.
Aina ya bwawa la kufugia samaki.
  • Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea “Earthen Pond” ambalo litakuwepo mahali ambapo udongo unaruhusu kutuwamisha maji. Mara nyingi kuta zake hushindiliwa na kupandwa nyasi ili kupunguza nguvu ya maji kasababisha mmomonyoko wa udongo.
  • Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea “Earthen Pond” ambalo litakuwepo mahali ambapo udongo hauruhusu kutuwamisha maji, litatandikwa Karatasi la “Nylon”/”Polythene sheet” ili kuzuia maji yasipotee ardhini.
  • Bwawa la kuchimba udongo na kujengea kwa Matofali, Cementi na Zege;
  • Kwenda chini ya ardhi “Earthern concrete pond”
  • Kwenda juu ya ardhi “Raised Conrete Pond”
PITIA
UBUYU TUNDA LENYE FAIDA KUBWA MWILINI

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

Faida zitokanazo na Mapapai

ASILI ya mpapai ni Amerika ya Kati, ambapo kuanzia matunda, majani na utomvu wa mmea huu hutumiwa kama dawa maeneo mbalimbali duniani. Vile vile, matunda

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »