Hizi ndizo Mbegu Bora za Mahindi

ZIJUE MBEGU BORA ZA MAHINDI : Habari za muda huu mpenzi msomaji wetu, bila shaka u mzima wa afya tele, nichukue furs hii adhimu kukuarika wewe katika somo letu la leo, somo letu la leo linatokana na maswali ambayo huwa tunaulizwa na wasomaji wetu, wengi huuliza ipi ni mbegu bora ya mahindi ili nipate mavuno mengi.

Ukweli ni kwamba mbegu bora  ya mahindi ina mchango mkubwa sana katika kupata mazao mengi na yenye thamani kubwa. Bila kua na mbegu bora sidhani kama unaweza kupata mazao bora kabisa. Hivyo kila wakati ni vyema akajifunza mbinu bora za kupata mbegu bora ili uweze kupata mazao mengi na bora pia.

kitaalamu kuna mbegu aina mbili japo zina majina mengi mengi kutokana na makampuni na qulity kidigo zimetofautiana mfano kuna pana,seedco, star na zingine nyingi.
Lakini kila kanda kuna aina ya mbegu ambazo zinakubali sana katika ukanda husika bado sijapata takwimu sahihi ya kila mkoa na aina ya mbegu ambayo inakubali sana.

ila ningependa ndugu msomaji uelewe kitu kimoja ambacho ni cha msingi sana.

Kuna aina mbiili za mbegu ambazo ni:

AINA ZA  MBEGU YA MAHINDI

i/ Mbegu ndefu

ii/ Mbegu fupi

MBEGU NDEFU

Hizi ni mbegu ambazo zinakaa mda mrefu kidigo kuliko mbegu fupi, mbegu hizi hukaa siku 100 hadi siku 120 hapo ndipo zinakua tayari kuvunwa. Lakini ni mbegu ambazo zinakua  ndefu sana kwa kimo, zinamabua makubwa sana pamoja na punje ambazo ni kubwa pia. mfano hybrid,pana ndefu

MBEGU FUPI

Hizi ni  mbegu hazichukui siku nyingi sana mpaka kukomaa zinachukua siku 75 hadi siku 90. Lakin zinakua na punje ndogo kutokana na aina na zinakua na bua fupi pia.

PITIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI -kuidhinishwa matumizi ya aina mpya za mbegu za mazao

lakini hizi ni mbegu ambazo ni nzuri kwa wakulima ambao wanalima kwa ajili ya biashara, kwani ni za muda mfupi na pia biashara yake inalipa zaidi.

mfano star na stuka.

HITIMISHO

Toa Maoni yako nini unawaza au unazungumzia Kuhusu Mbegu Bora za Mahindi?, Katika Msimu huu wa Mvua

Jiunge Nasi Telegram

Usipitwe na Nyaraka mpya kila zikiwekwa kwenye Tovuti yetu na weza kujifunza kwa kina ukitumia simu. Jiunge sasa hapa.

BANDA LA KULELEA VIFARANGA

Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ufikirie yafuatayo:- Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua vifaranga wako mara kwa mara.

Read More »

Kilimo Bora Cha Alizeti

Alizeti hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara, na Rukwa. Zao hili hulimwa kwa ajili ya

Read More »

UFAHAMU MFUMO WA KILIMO SHADIDI

Mfumo wa kilimo shadidi cha mpunga (MKiShaMpunga) unaojulikana kwa Kimombo kama ‘Sytem of Rice Intensification’ au ‘SRI’ kwa ufupi unajumuisha mbinu  vumbuzi za kilimo ambazo

Read More »